Tumia care kwa matokeo makubwa ya uhakika

 CARE  Hii ni natural disfectanct (kiua bacteria) inaua bacteria kwa 99% Ni bidhaa ambayo inahusisha ufanyaji kazi wa nje  KAZI YA CARE 1.Inaondoa utangotango au mba wa ngozi 2.Inazuia mtu kupata UTI 3.Inaondoa miwasho sehemu mbali mbali za mwili  4.Inatumika kusafishia vidonda  5. Hutumika kama detol kutibu maji kabla ya kuoga  6. ⁠Huondoa na kukata harufu mbaya sehemu za siri 7. ⁠Husaidia kuua bacteria maeneo ya jikoni, bafuni nk nk 8. ⁠Huzuia malenge lenge ya mtu kuungua kama ataimwaga sehemu aliyoungua haraka baada ya kuungua   Hii bidhaa ni muhimu kua nayo majumbani maana inasaidia sana sana kwa matumizi ya kawaida ya kila siku


Post a Comment

0 Comments